Saturday, July 04, 2009

Kwa Heri Sarah Palin!

Gavana wa Alaska, Sarah Palin, ametangaza kuwa anajiuzulu ugavana. Habari za kujiuzulu kwake zimeshangaza sana maRepublicans wenzake, huko watu wengine wanashangilia kuondoka kwake. Naibu Gavana ataapishwa kuwa Gavana hivi karibuni.

Palin, aligombea umakamu rais, chini ya John McCain, katika uchaguzi wa rais mwaka jana. Rais Barack Obama aliibuka mshindi, ingawa maRepublicans walimchafua kwa kila aina ya tusi na kuchochea ubaguzi Marekani. Hatimaye Barack Obama alishinda uchaguzi huo.
Watu wanasema huenda Palin atagombea urais mwaka 2012. Wengine wanasema atakuwa na TV show yake kama Oprah. Kama ni kweli fans wake lazima watakuwa ma redneck.
************************************
WASILLA, Alaska (AP) - Even for a nonconformist, Alaska Gov. Sarah Palin has defied political logic with her sudden, stunning announcement to leave office more than a year early.
Supporters and critics alike say the former GOP vice presidential candidate's resignation, announced Friday afternoon and effective July 26, is an inexplicable move for a high profile Republican widely seen as a contender for a White House run in 2012. A half-term governor campaigning for president?

"If she is thinking that leaving her term 16 months early is going to help her prepare to maybe go on to bigger and better things on the political stage, I think she's sadly mistaken. You just can't quit," said Andrew Halcro, a Palin critic who lost the 2006 gubernatorial race to her.
Kwa habari zaidi soma:

1 comment:

Anonymous said...

Kamechoka kamama hakataki mchumba mi nipo tayari kukaoa nakapenda sana haka kamama kazuri juu ya uzee wake