Saturday, December 25, 2010

Heri ya Krismasi ! Merry Christmas 2010!

Nawatakia wadau wote Krismasi Njema!
Merry Christmas to All!

2 comments:

malkiory said...

Likewise.

Ebou's said...

Habari ya mida hii na kheri ya sikuku ya krimas
*swahilitime* Ni mimi hapa Ebou Shary Napandisha mlingoti huu kutoka State Ya Washington DC. Na nawatakia Sikuku Njeema.

Napenda kuomba kitu kimoja kwako Kamanda. Tafadhali kama itawezekana. Kuizindua Blog yangu na kuipandisha kileleni in your Bloglist Watu wakaitambua Hili libeneke. Jina la Blog ni http://swahilivilla.blogspot.com

Bloh hii imeanzishwa mjini Washington Dc na inaendeleza kazi zake katika mji wa Maryland. Inatumia lugha ya kiswahili na kingereza ili kuhabarisha kuhusu maswala mbalimbali ya kijamii hasa katika ukanda wa Marekani mashariki na Afrika mashariki. Itakuwa inakuletea habari mbalimbali za kijamii, siasa, burudani,michezo nk. Nakaribisha maoni yenu. Wasiliana nasi kwa. Email:kijiko12@hotmail.com

Habari ndio hiyo kamanda, na unisomapo tafadhali usikose kuweka neno kwani kwani ndio chanzo chakuelewa hali halisi inayokubalika katika jamii yetu hii tuipendayo kwaujumla. shkran