Monday, December 20, 2010

Mr. Tanzania - Christopher Maganga Malecha
Huyu ni Bwana Christopher Maganga Malecha wa Tenki Bovu, Mbezi Beach, Dar es Salaam. Anasema anataka kutangaza Tanzania kwa dunia. Anapenda sana kuvaa nguo za Khanga amabazo anashona mwenyewe. Asili yake ni MNyamwezi kutoka Tabora. Anapatikana sehemu za Chai Bora njia ya kwenda Goba.

2 comments:

Mkongwe said...

Kila siku tunasikia ohhh hatuna vazi la taifa..ohhh litafutwe vazi la taifa...kumbe unaweza kushona khanga kidizaini na ukaonekana una vazi murua!

Anonymous said...

Hiyo bendera aliyovaa kichwani imeguezwa au macho yangu? Nilifikiri kijani inakuwa juu, lakini naona yeye bluu ndio iko juu.