Friday, December 17, 2010

Muhimbili Garden

Pale Garden Muhimbili unaweza kupata vinywaji kama chai, soda, juisi bia. Pia kuna chakula kizuri tu. Asubuhi unaweza kupata supu, maandazi, sambusa, egg chop, mayai etc. Mchana, pilau, wali, ndizi, etc. Bei siyo mbaya. Watu wanamimiminika pale kule. Unaweza kupata phone card pia.Mwembe Mkubwa Pale Garden
Huo Mwembe una miaka mingapi?
Pilau Nyama Bei 1500/-, Juisi 500/-

1 comment:

Anonymous said...

Napakumbuka hapa nilisota na mwanangu mchanga wa siku 8 kwa miezi mitatu bila mafanikio nikakimbilia CCBRT na sasa amepona anakimbia ukiambiwa huyu ndo amezaliwa na CLUBFOOT huamini.
Maana unaenda PRIVATE lakini unagandishwa mpaka unakoma, unakunywa juice, soda, maji na kila kitu na bado daktari hajaonekana. MOI hoyeeee