Friday, December 17, 2010

Mwaisela Block Muhimbili

Mwaisela Block Mwaisela Annex

Ward Number 8 Upande unaotazamana na Orthopedic Institute


Wheelchair Mbovu Ward 8, Watu wanaitumia kukalia tu

Mimi Mwaisela Ward 8

Kunguru

Mwaisela Annex


Mwaisela Ward 8 Emergency Exit


Mwaisela Ward 8 Emergency Exit -lakini mbona hutaweza kupita ikitokea kasheshe?

Panya aliyekamatwa Mwaisela Ward 8 na Mgonjwa

Mdudu aina ya Preying Mantis

Mwaisela Ward 8 upande uinaotazamana na Jangwani

1 comment:

Anonymous said...

Dada chem mponda pole na kazi na nakutakia christmas njema, ombi langu ni kukuomba wewe pamoja na wadau wote wa blog yetu kama mnaweza kupost picha mbalimbali za tanzania katika skyscrapercity, pia kuna thread la dar arusha mwanza, dodoma na zanzibar, katika utalii pia unaweza kutuhabarisha na chochote kinachoendelea huko kwetu, picha za utalii please dumbukiza humu http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=803392
na vikanguaanga vya dar dumbukiza humu http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=430948
Tanzania Infrastructures development & Discussion dumbukiza hapa http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1139953, pia nilikua nauliza hivi libeneke la taswira limekufa? au kunani? pia nilikua nakuomba kama unaweza kutupatia picha ya dar usiku ukiwa jengo la mwalimu pale ilala kuelekea CBD (MAENEO YA POSTA), karibuni skyscrapercity tanzania,hata ya mchana pia itakua vizurim au zote mbili