Wednesday, December 22, 2010

Ramani Ya Africa


6 comments:

Malkiory Matiya said...

Inapendeza, nimeitumia kuipamba blogu yangu. Asante kwa kuibandika.

SIMON KITURURU said...

Ingenoga sana tu ZAIDI kama ramani hii ingekuwa imechorwa hivyo na WAAFRIKA!

Hivi lini Tanzania na Malawi watamaliza migogoro ya mpaka kwenye ZIwa NYASA/Lake MALAWI?

emu-three said...

Nawaza kama Africa ingekuwa moja, nawaza kwamba ingeitwa United State of Africa...mmh nahis mawazo hayo yalikufa na akina Patrice Lumuba, Nyerere nk.
Kweli inapendeza sana! Laki mgawanyo huo ulikuwa na maana yake gawanya ili tupate urahisi wa kutawala au sio!

Halil Mnzava said...

Katika ramani hii kwa leo Ivory Coast inaonekana zaidi!

John Mwaipopo said...

mbona bendera ya zanzibar haijaonyeshwa?

Anonymous said...

Bendera ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) iliyotumika ni ya zamani. Kwa sasa DRC wana bendera nyingine