Friday, December 17, 2010

Muhimbili Moments

Baba akisoma nakala ya Daily News. Nilikuwa Cover story kwenye Woman section.
Baba akipelekwa Theatre kwa ajili ya Upasuaji.

Njia panda kwenda Block za Sewa Haji na Kibasila


Wagonjwa wakisubiri kuingia Muhimbili Orthopedic Institute

Father Fidelis wa R. C. akipita kusalimia wagonjwa


Roundabout

Magoroja yanjengwa Upanga!


Mafuriko Jangwani - View from Mwaisela Block


Kaka Michuzi na Mke wake nao walipita kutoa salamu za pole kwa Baba.

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Da Chem mpalai poli dadi wetu. Na ahsante kwa taswira ya Muhimbili.

Anonymous said...

Pole sana Dada yangu na uguza pole. mnnzuri uko karibu pamoja na familia yako kwa wakati kama huu.

Anonymous said...

Kumbe mke wa misupu ni mzuri hivyo.Mashallah .....Pole na matatizo ya mzee Da Chemi.Namuombea kwa M/mungu amponye mzee na arudi kwenye afya njema.

Anonymous said...

Poleni na kuuguza. Mungu amjalie baba apone vizuri na arudie majukumu yake ya kila siku.
Poleni na MBU wa Muhimbili. Hapo mahali pana MBU mno si mchana wala usiku wako active haswa.

Anonymous said...

finally tumemuona mkeo michuzi h ah aha she is so cute!

Kithuku said...

Chemi umepaona Muhimbili na madhila yake. Bakhti nzuri waziri wa afya ni kaka yako Dr Mponda. Hebu mweleze kirafiki tu, muombe alete mabadiliko katika hizi hospitali watu tunateseka sana.