(Pichani ni Miss Uganda 2008)Wadau, hivi kwenye mashindano ya Miss Tanzania kuna kigezo cha Urefu? Katika Miss Uganda kuna kigezo kuwa mshiriki ni lazima awe na urefu wa futi 5'7" na zaidi.
http://missugandapageant.com/
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
(Pichani ni Miss Uganda 2008)
No comments:
Post a Comment