Friday, December 05, 2008

Ni Binadamu au Sokwe!


Jamani kuna wazungu wana manywele mwili mzima Duh! Huyu ni mcheza sinema maarufu, Andy Garcia!

6 comments:

Anonymous said...

MTUMEEEE! Sasa huko mahala pakoje!

Anonymous said...

"Majumaaa? Sanga kamata v*zi"

Anonymous said...

Sidhani kama ungekuwa wewe una vinyweleo hivyo kama ungeweka hiyo caption!! Let us be sensitive to people's differences........ Change start from within.....Yes we can........ Shangaa, lakini sio kumfananisha binadamu mwenzio na mnyama!!

Godfather said...

Hao wazungu wamezidi kusema kuwa sisi weusi tunafanana na nyani! Kumbe wazungu wanafanana nao zaidi!

Anonymous said...

Nakubaliana na anon dec 8, 8:46 am kuweka caption ya "binadamu au sokwe?" is rather foolish. Isn't that exactly what we have been fighting for 300 years?

Anonymous said...

Miaka na miaka zungu limetuita monkeys, gorrila. Wao ndo monkeys na gorillas.