Friday, December 05, 2008

Askari
Bila shaka wengi wenu mna ndugu ambao walikuwepo vikosi vya askari. Hii picha ya kikosi cha askari kilipigwa enzi za mkoloni (mjerumani) mwaka 1914. Sijui ni Mirambo Barracks, Tabora hapo?

1 comment:

Anonymous said...

Hao askari unaweza kukuta wengi wao walikuwa wageni kutoka Sudan, na Ethiopia walijiunga na jeshi la Mjerumani kuja kupigana vita ya maji maji na nyingezo zilizokuwa dhidi ya mjerumani. of course na watanganyika walikuwemo