Monday, December 08, 2008

Vifaa Vya Jikoni


Badala ya kwenda SEARS, Best buy, Ikea, Pier 4 etc. kununua vifaa vya jikoni, nyumbani tunaenda dukani au gengeni kupata mahitaji yote!

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli gengeni unaweza kupata bei poa. Asante kwa ushauri da chemi

Anonymous said...

we dada chiku vifaa gani vya jikoni hupatikana best buy yaani umeshaona watu wote wabeba maboksi tena wa kutoka namasongole
mbollo

Anonymous said...

Best buy, LOL