Saturday, December 20, 2008

Nifahamishe.com

WWW.NIFAHAMISHE.COM ni website mpya ambayo inakuja na mambo mbalimbali kwaajili ya watanzaniaBaadhi ya vipengele vilivyopo kwenye nifahamishe.com ni kama ifuatavyo:

* Breaking news za bongo na duniani
* Habari mbali mbali za Tanzaniana za kimataifa
* Habari katika picha na video
* Live radio
* Online Games
* Habari za burudani na wasanii wa bongo*

Utaweza kusikiliza nifahamishe nonstop bolingo na lingala mix->Kuuza kwa kuweka tangazo lako bure au kununua nyumba,magari,vitu vyaelectronics na kadhalika->Kushare picha na watanzania duniani KARIBU NIFAHAMISHE.COM

2 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Asanteni na karibuni. Nasi twakaribia huko mfahamishako tufahamike.
Blessings

Anonymous said...

Hii site naona jamaa wakiendelea na uzi huu walionao watafika mbali
Nimekuwa nikiwatembelea kwa muda kidogo na nafurahishwa jinsi wanavyojitahidi kuwa updated kila siku
Endeleeni kutupa mambo nifahamishe