Monday, December 01, 2008

SIKU YA UKIMWI DUNIANI
Leo ni siku ya UKIMWI duniani (World AIDS Day). Tukumbuke waliopoteza maisha yao na waliothairika na ugonjwa huo. Pia tumwombe Mungu kuwa tiba utapatikana siku za karibuni.

1 comment:

Anonymous said...

da chemi mbona hiyo miguu inaonekana yote ni ya jinsia moja hapo kunani tena!!!??