Saturday, May 22, 2010

Halahala Wanaonunua Chupi Marekani!!!!

Kama unanunua chupi Marekani ni lazima mtazame hii video!!! Inahusu chupi za akina mama.

Huenda unanunua chupi ambayo imevaliwa na mtu mwingine tena haijafuliwa!

http://today.msnbc.msn.com/id/26184891/vp/35659447#35659447

1 comment:

Anonymous said...

Khaa! Jamni hebu mnuse hizo chupi kabla ya kununua! Dhambi!