Friday, May 07, 2010

Mazishi ya Bi Mwana Nassor mjini Boston


Mtoto wa marehemu Alex Rashad akiangalia utaratibu ya mazishi


Wadau, mpendwa mama yetu Bi Mwana Nassor alizikwa jana Alhamisi, Mei 6, katika makaubiri ya The Gardens at Gethsemane, West Roxbury, Massachusetts. Ni nje kidogo ya Boston.
Mola ailaze roho yake mahala pema peponi. Amina.
******************************************************************

ASSALAM ALAYKUM

Ndugu Wapendwa Kwa niaba Ya Familia ya Bi Mwana, Tunatowa shukurani zetu za dhati
kwenu nyote Mliochangia na Mliohudhuria kwa hali na Mali Na Kwa yote Mazuri Yaliyotendeka wakati wa msiba wa kipenzi chetu Bi Mwana k. Nassor.

Vilevile Tunamshukuru M/Mungu Sana kwa Imani zenu na Ihsani zenu kwa Mshikamano wenu Mwanzo mpaka Mwisho katika Kumzika Marehemu Mama Yetu,na tunaomba mshikamano huu tuuwendeleze hivihivi ,Mungu Aendelee Kutupa roho za imani na upendo kwa sote. Na Tunawaomba Radhi kama kuna Usumbufu wowote ule uliotokea.

Na kwa wale wanaotaka kutowa salamu zao
za Rambirambi unaweza kuwapigia simu

Alex Rashad 832-537-1749
Eddy Rashad 781-608-0665
Kassim Khelef 617- 372-2566
Hafidh Kombo 203-558-1073
Samha Matar 857-249-0401

No comments: