Friday, May 07, 2010

Kanumba Aja na Sinema Mpya - White Maria!


Wadau, mcheza sinema maarufu wa Tanzania Steven Kanumba aka. The Great Kanumba au Denzel wa Tanzania atatoa sinema mpya mwezi ujao.

Sinema itaitwa White Maria. Stelingi wake ni Kanumba mwenyewe, Wema Sepetu aliyewahi kuwa Miss Tanzania.

Mnaweza kupata habari zaidi kwenye Blog ya Kanumba:
http://kanumbathegreat.blogspot.com/
Naingojea kwa hamu! Wadau huko Bongo mtuletee reviews.

1 comment:

Anonymous said...

Wema na Kanumba wamekwishapatana? Si waliburuzana mahakamani!