Thursday, May 27, 2010

Viongozi wa Afrika

Mwaka 1960 Rais Sekou Toure wa Guinea na mke wake walitembelea mikoa ya Kusini mwa Marekani. Wakati huo Ubaguzi huko ulikuwa mbaya mno!
L-R - Emperor Haile Selassie (Eithiopia), President Jomo Kenyatta (Kenya), President Gamal Abder Nasser (Egypt), and President for Life Hastings Kamuzu Banda (Malawi)

Hii picha naona ilipigwa kwenye miaka ya 1964. Rais Nasser alifariki 1970, na Mzee Banda anaonekana bado kijana.

5 comments:

Anonymous said...

Sekou Toure alikuwa na mke mzuri. Lakini jamaa alikuwa mbaya kweli aliua watu kama Idi Amin alivyokuwa anaua!

Anonymous said...

umeshuhudia au umelishwa tu umeshiba?
acheni kushabikia mambo!

Anonymous said...

eti nasikia kulikuwa na picha wamejipanga katika mstari viongozi wa Africa na majina yao yanasomeka hivi:-

Nyerere, Kaunda, Banda, Azikiwe, Karume.

eti ni kweli? kwa wanaojua au aliyonayo atuletee tuione.

Anonymous said...

Pamba za wakati huo zilikuwa ni kali sana, ila za Mwalinu ni za kijamaa/simpo

zitto kiaratu said...

mdau wa pili ni kweli sekou toure alimaliza wapinzani huko guinea, kama hujashiba wacha nikushibishe alimwua hata katibu wa oau aitwae Diallo Telli. mdau wa tatu nyerere, kaunda, azikiwe,banda, karume hakuna kitu kama hicho labda nyerere-kaunda-obote kwa sababu kaunda na obote walikuwa wajinga wa nyerere!!!!