Tuesday, May 04, 2010

Msiba Boston - BiMwana Nassor


pichani Marehemu Bimwana Nassor

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Tunasikitika kuwajulisha Msiba wa Mama Yake Alex Rashad, Eddy Rashad, Hafidh,na Samha Matar (Bi Mwana ) Mwana Nassor Khalef ameshatangulia mbele ya haki.

Mungu amlaze mahali Pema peponi (Amin)Taratibu na mipango ya kuzika zinaendelea Nyumbani kwake Samha 208 Westville, Dorchester MA.
Tunawaomba ndugu zetu mtusaidie kuchangia fedha kwa ajili ya kuwezesha Gharama za kuhifadhi mwili, , na gharama zingine ambazo kwa kawaida huja na haya matatizo.

Mnaweza kuwasilia na :

Alex Rashad 832-537-1749

Eddy Rashad 781-608-0665

Kassim Khelef 617- 372-2566

Akaunti Maalum umefunguliwa kwa ajili ya Rambirambi:
Eddy Rashid
Bank of America : 004616854853 (Savings)
Routing Number: 011000138

1 comment:

Anonymous said...

Poleni sana Alex, Eddy, Myra, Samha!