Monday, May 17, 2010

Miss USA kwa mara ya kwanza ni Mwarabu!


Kwa mara ya kwanza Miss USA ni mwarabu. Anaitwa Rima Faki. Ana miaka 24. Ni mhamiaji kutoka Lebanon. Ni Miss Michigan. Kama mnavyofahamu huko Michigan kuna waarabu wengi sana wana jamii kubwa sana enye nguvu. Na sehemu zingine ni kama kwenda Uarabuni kabisa.


NImependa sana maneno yake ya utundu. Mfano aliulizwa unajisikiaje kuwa Miss USA. Alijibu, nitakuambia nikishakula pizza!
Hongera Rima!

Congratulations on your win!


Pichani Rima akivishwa Taji.

***************************************************************LAS VEGAS – Rima Fakih knew she had won the 2010 Miss USA title when she saw the look on Donald Trump's face: It was the same one she'd seen him flash at the winners of "The Apprentice."

The 24-year-old Lebanese immigrant — Miss Michigan USA to the judges — beat out 50 other women to take the title Sunday night, despite nearly stumbling in her evening gown.

She told reporters later that she believed she had won after glancing at pageant owner Trump as she awaited the results with the first runner-up, Miss Oklahoma USA Morgan Elizabeth Woolard.

"That's the same look that he gives them when he says, 'You're hired,'" on Trump's reality show, she said.

"She's a great girl," said Trump, who owns the pageant with NBC in a joint venture.


Mnaweza kusoma habari kamili hapa:

3 comments:

Anonymous said...

Hi Chemi,

Misss USA 1970 hakuwa mwarabu?

Anonymous said...

kwani waarabu ni watu wa ajabu ?
maana nara nyingi ukisikia mwarabu kafanya kitu basi watu wanashangaa,

ustarabuu tumeletewa na hawa waarabu.
ndio tukatumia neno la ustaarabu.

Chemi Che-Mponda said...

Anonymous wa 8:10PM,

Miss USA 1970 alikuwa ni Miss Virginia, Debbie Shelton. Kutokana na bio yake naona ni mzungu siyo mwarabu.

Unaweze kuisoma:

[url]http://en.wikipedia.org/wiki/Deborah_Shelton[/url]