Saturday, May 22, 2010

Mtume!!!

Jamani huo mchezo wa kupambana na ng'ombe dume (bull) huko Hispania una athari zake. Yaani huwezi kuamini lakini huyo jamaa bado yu hai!

Mnaweza kusoma story hapa:

http://www.nypost.com/p/news/international/gored_matador_gets_spain_and_suffering_uKtLPXB9Snnc3d4BRNZPUN

5 comments:

chib said...

Tofauti ya mchezo huu na masumbwi, ni kuwa mshindani mmoja anakuwa hana akili. Lakini kwa ujumla michezo yote hii ni hatari!!!

Mzee wa Changamoto said...

Ati raha ya chakula cha kiHindi ni pilipili imfanyayo mlaji atokwe machozi wakati anakula. Raha ya Kung Fu ni kupigana na kupigwa na hata Raha ya mchezo huu ni uwezekano wa kuumizwa

Bennet said...

Hii inaitwa ajali kazini, siku moja moja lazima na yeye ashinde ndio mtajua umuhimu wa haki za wanyama

Anonymous said...

horror!!! sasa ilo pembe lingeenda juu kidigo tu kwenye ubongo au tumboni au kwenye moyo kifuani jamani mchezo hatari huu sijapata kuona umepitwa na wakati

Anonymous said...

Ingeenda kwenye ubongo tungekuwa na kilio leo. Wanasema jama alikuwa handsome na huyo ng'ombe kaharibu uhandsome wake.