Friday, May 07, 2010

Ngoma ya Marais

Kutoka Michuzi Blogu:

Rais wa Janhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete katikati, Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Wazi Mkuu wa Kenya Mhe.RailaOdinga na Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Dk. Salim Ahmed Salim, wakisakata Rumba katika Tafrija ya kukamilisha Mkutano wa Uchumi Duniani iliyofanyika jana katika Viwanja vya Ikulu Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, akisakata Rumba na Elsia Kanza kwenye Tafrija ya kukamilisha mkutano wa Uchumi Duniani iliyofanyika jana Usiku katika Viwanja vya Ikulu Dar es salaam.(picha na Amour Nassor VPO)
Kupata habari na kuona picha zaidi mtembelee KAKA MICHUZI:

2 comments:

Anonymous said...

Better to dance than make war! Wish Bush Jr. could have danced with Saddam!

Anonymous said...

Wote wamefungua tai ili kupunguza jasho.