Wednesday, May 12, 2010

Kinyago kilichoibwa Tanzania Charejeshwa


Pichani - Sanamu ya Makonde ambacho kiliibiwa kutoka Makumbusha ya Taifa Dar es Salaam, ilibwa kati ya mwaka 1984-1986 pamoja na baadhi ya mikusanyo ya mila na Sanamu hiyo kilikamatwa nchini Uswisi na hatimaye kurejeshwa hapa nchini.


Asante Da Subi kwa habari hizi:

Sanamu ya Kimakonde ambayo iliibwa mwaka 1984 pamoja na mikusanyiko ya vitu vya kimila kutoka kwenye Makumbusho a Taifa Dar es Salaam, na kuingia katika makumbusho ya Barbier-Mueller iliyopo nchini Uswisi mwaka 1985, imerejeshwa. Wahusika wa makumbusho hiyo ya Uswisi wanasema waliinunua miaka 25 iliyopita bila kufahamu kuwa iliibwa toka Tanzania.

*******************

The Makonde mask, which was worn at male initiation rites by the animist ethnic group, was taken by burglars from the National Museum of Tanzania at Dar Es Salaam in 1984 and bought by the Swiss museum the following year. An official "mask-giving" ceremony will take place in Paris on Monday between representatives of the Geneva-based Barbier-Mueller museum and the Tanzanian museum, under the guidance of the International Council of Museums.

The Barbier-Mueller said in a statement that in 1990, a professor at an Italian university told it that the Makonde mask in its collection could have come from the Tanzanian museum and it informed the council.

The Barbier-Mueller museum, founded in 1977, then began the process for an eventual return of the mask to Tanzania, under certain conditions. "The return of the Makonde mask is a happy end to more than 20 years of negotiations and efforts by the two parties, with the help of the ICOM," the statement said.

3 comments:

Subi said...

Asante kushukuru da'Chemi.
Nakushukuru kwa ushirikiano wako mwema.

SIMON KITURURU said...

Kuna mtu ana picha ya Kinyago hiki Wajameni?

Subi said...

Mtakatifu Simon, picha ya kinyago ipo kwenye posti pale wavuti, bofya hapa (zipo picha zaidi ya moja) labda kama sizo ulizotaka. Ukibofya zile itazikuza na utaziona katika ukubwa wake. Pia zinapatikana katika blogu za Mroki Mroki na Issa Michuzi .