Thursday, March 31, 2011

Breaking News - Babu wa Loliondo Atatibu Wagonjwa Dar!

Wadau, Nimepigiwa simu na rafiki yangu Tanzania kuwa Babu wa Loliondo amekubali kufika Dar na kutibu wagonjwa. Huduma itakuwa kwenye viwanja wa Jangwani. Tarehe bado haijatangazwa lakini utaratibu wa kugawa vikombe itakuwepo. (Natumaini siyo utani wa April Fools)

2 comments:

Anonymous said...

kwahiyo yale masharti aliyooteshwa kwamba dawa isivuke mipaka ya loliondo yatakuwaje? atayadharau au usanii kwa kasi ya kwenda mbele?

Anonymous said...

Hello very cool web site!! Guy .. Beautiful .. Superb ..
I'll bookmark your blog and take the feeds additionally?
I'm satisfied to find numerous helpful info right here within the put up, we need develop extra techniques in this regard, thank you for sharing.
. . . . .

Feel free to surf to my blog: Buy Vaniqa 1 Count