Monday, September 03, 2007

Hongera Mr. & Mrs Kataraia!


Natoa pongezi kwa Bwana Robert Kataraia na Bi Annette Kaduri, waliofunga ndoa huko Minneapolis Minnesota juzi, 9/1/07.

Wengi mnafahamu kuwa Robert alicheza kwenye sinema ya Bongoland kama Mukulu, rafiki yake Juma. Pia alicheza kwenye sinema ya Tusamehe. Ni mcheza sinema mzuri sana. Annette naye anaigiza kwenye sinema ya Tusamehe kwenye scene ya arusi.

Kwa habari na picha zaidi nenda:

http://bongoland2.blogspot.com/2007/09/bongoland-star-weds-in-minneapolis.html

2 comments:

Anonymous said...

Mmependeza sana, Hongera zenu.

Anonymous said...

Rekebisha tarehe dada... ni 01.09.2007 iyo ya kidhungu hatujazoea siye...