Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Friday, September 28, 2007
Heshima za Mwisho - Mzee Godwin Kaduma (1938-2007)
Prof. Saida Othman (kulia) Prof. Amandina Lihamba, Prof. Penina Mlama na Mama Thecla Mjatta wakiongea kabla ya heshima za mwisho kuanza. Wazazi wangu Dr. Aleck Che-Mponda na Rita Che-Mponda wakiongea na Prof. Penina Mlama, Prof. Saida Othman na Prof. Amandina Lihamba. Mama Thecla Mjatta (mwenye Scarf ya pinki) akiongea na waombolezaji wengine kabla ya shughuli za kuwaga Mzee Kaduma kuanza.
Mzee Masimbi akitoa maelezo kuhusu mipango ya mazishi. Mwili wa Mzee Kaduma ulipelekwa kwanza nyumbani kwake Bagamoyo halafu ulipelekwa Iringa kwa ajili ya mazishi.
Prof. Amandina Lihamba na Prof. Penina Mlama wakipita kutoa heshima za mwisho.
Mzee Masimbi akiwafariji Mama Thecla Mjatta na Prof. Penina Mlama
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA.
You can contact me at chemiche3@yahoo.com.
2 comments:
Yaani Chemi hujui kuwa Saida Othman naye ni Prof? sababu kwa wengine umeweka Prof. lakini kwake kavu kavu
Asante kwa sahisho. Niliandika caption sehemu nyingine, lakini naona kulikuwa na problem ya cut and paste.
Post a Comment