Saturday, September 22, 2007

Trailer ya Bongoland II sasa iko You Tube
Haya sasa! Mlio na kiu ya sinema ya Bongoland II - Nyumbani ni Nyumbani mnaweza kuona


3 comments:

Anonymous said...

Kwa kweli hii trailer inaonekana ni nzuri. Nasubiri kwa hamu kununua hiyo DVD.
Kazi nzuri, Kibira and co.!

Anonymous said...

Safi sana! Tena sana. Lini sasa tutaona full film? Asante kwa kutuonjesha film!

Anonymous said...

Hi. I just watched the trailer. Can you please explain what is happening at the end. Is the man killing someone or is he doing a voodoo ritual?