Thursday, September 06, 2007

You Go Girl! Mjue Mnenguaji Rose Jimama

Hata wembamba hapo wanakazi kukufikia! Tena kavaa viatu stiletto! Hapa Marekani tunasema, "You Go Girl!" Asante Rose Jimama kwa kuonyesha vitu vyako.

From Haki Ngowi Blog:

Mnenguaji wa kujitegemea Mwajuma Thabiti anayefahamika pia kwa jina la Rose Jimama, hivi karibuni alifanya kufuru la nguvu ukumbini baada ya ‘kubanjuka’ kama anavyoonekana katika pichani.

Jimama alifikia hatua ya kubanjuka baada ya kupagawishwa na ‘Sebene’ la Bendi ya FM Academia 'Wazee wa ngwasuma' waliokuwa wakiporomosha muziki uliomfanya mnenguaji huyo akolee na kuanza kufanya vitu vyake mbele ya mashabiki.

Aidha baada ya kuonesha mitindo ya kufa mtu baadhi ya mashabiki wakiwemo wanaume walijitosa uwanjani kwa lengo la kumtunza huku wengine wakimfanyia mambo ya aib ukweli bongo kuna mambo,Christopher Lissa shukrani kwa nyuzi hii...

7 comments:

Anonymous said...

Kumbe majimama wanaweza kunyayua mguu hivyo!

Anonymous said...

Dah! akikukalia umekufa. Ukute mume wake mwembamba.

Anonymous said...

Yarabi toba! tenga kama hili la nini?

Anonymous said...

Mi nikiwa kama mwanmme,demu kama huyu kufanya nae majamboz kwanza kimango changu a.k.a Fedha ziwe mezani nikishatokwa na jasho niziweke kwa pocket.Nitoka hapo hapo watanitambua uswazi.

princelee said...

ehee hizo ndo zile zangu yani ukipewa hiyo style wakati wa ligi kuu ya chumbani isee acheni tu mademu wa hii size ni watamuu mnooo usipimee sasa limalize kwa style hiyo halafu lishushe mguu likupe sasa ile ya mbuzi kagoma kwenda wewee utajilamba kwa utamu tunashukuru dada yangu kwa utamu huu.

Chemi Che-Mponda said...

Mimi nilidhania watu watamsifu kwa uwepesi wakelakini midume inamwona kama sex toy!

princelee said...

hahaha! sio hivyo dada Chemi kweli hata kama akiwa mzito au mwepesi hiyo size tu tosha yani unene ni utamu siku zote asikwambie mtu na hivi vi mifupa miss kwanza hamna utamu pili kakikosea mgongane magoti wakati wa game mungu wangu utadhani umegongwa na nyundo ya chuma hamu yote inakatika.