Saturday, September 22, 2007

Hoteli ya Sea Cliff Yaungua Moto Dar!


(Photo from Michuzi Blog)

Hoteli ya Sea Cliff umeungua moto usiku wa kuamkia leo.

Kwa habari zaidi nendendi Michuzi Blog.

2 comments:

Anonymous said...

Tushukuru Mungu kutoka kwa vyanzo vyangu hakuna mtu aliyepoteza maisha.

Chemi Che-Mponda said...

Ndaki,

Asante sana kwa update.