Tuesday, September 11, 2007

Shenaz Hatunaye Tena

Nimepata hii habari ya kusikitishakwa e-mail:

Shenaz amefariki kwenye ajali ya basi la SABCO akitokea Tunduma. Kwa wasiomfahamu Shenaz wafungue hii link hapa. Shenaz ndio huyo mwenye nguo ya light blue.

http://www.youtube.com/watch?v=u9ACH8Ma98c

Marehemu alikuwa katika Stage Show ya Fresh Jumbe aka'Baba Sukari'

Mola amlaze mahali pema peponi. AMIN.

Stage Show yao ilikuwa unique maana wote walikuwa wamebarikiwa huko nyuma.

3 comments:

Anonymous said...

Mungu amlaze mahali pema peponi.katika wao nilikuwa nahusudu sana ki ushuzi cha huyu dada loh!yani kweli tako lake mungu lilikuwa linanifariji mnoo nikiwa mbele ya luninga yangu duh!

Aliko said...

TALENT shenaz dada yetu huyu alijaaliwa R.I.P

Anonymous said...

Alikuwa amebarikiwa huko nyuma si mchezo. Lazima kuna waliomwonea wivu! Hata mimi nilimwonea wivu.