Wednesday, September 12, 2007

Bongoland II Trailer


Kama ulibahatika kuona Trailer ya sinema ya Bongoland II, unakaribishwa kutoa maoni.

Ilikuwepo hewani kwa muda mfupi kwa majaribio, lakini bado inafanyiwa editing.
Bwana Josiah Kibira ameahidi kuwa kutakuwa na kampeni kali ya kuzindua sinema ya Bongoland II.
Pia ukitaka kusoma habari zote za sinema ya Bongoland II kwenye hii blogu bonyeza hapa:

1 comment:

SIMON KITURURU said...

Samahani natoka nje ya topiki.Tembelea blogu ya JUMUWATA kuchangia, kukemea, kuondoa, kujenga muelekeo wa JUMUWATA.Dondoo za muelekeo zimepandishwa ukurasani:http://www.blogutanzania.blogspot.com/