Thursday, September 13, 2007

Hongera Mr. & Mrs. Mroki


Mpiga picha wa magazeti ya serikali Daily News na Habari Leo, Mroki Mroki aka Father Kidevu, amefunga pingu za maisha, na Bi Deborah Fute, wikiendi iliyopita.

Hongera Mr. & Mrs. Mroki. Nawatakia maisha mema. Zaeni matunda mema.

1 comment:

Anonymous said...

haya sasa mkakulane ki halali tena ki toto kinaonekna kitamu hiki cheki macho ya kinyege au ulikolezwa wanja nini poa poaa chemi lete macho nyege zaidi big up