Thursday, November 19, 2009

Mchango Unahitajika - Msiba wa Robert L. Feruzi

Ndugu na Marafiki,

Kama mlivyosikia kuhusu Msiba wa Mzee wetu Robert L. Feruzi uliotokea tangu Jumapili Nov 15, 2009 at Mass General Hospital.

Bado tuko kwenye jitihada za kuomba misaada ya michango kusudi tuweze kufanikisha shughuli za kusafirisha mwili wa marehemu to Dar es Salaam, Tanzania and then tunategemea watu wa Dar watashughulika na jitihada zingine za kusafirisha mwili from Dar to KITOBO, Bukoba.

Mpaka sasa tumeweza kupata michango with a total of almost $3,000 and we're still running way short of our goal which supposed to be in the range of $8,000.

Kwa hali hiyo basi, nilikuwa najaribu kuomba tena msaada wenu. I know it is tough times now, ila I'm very sure bado tuna muda kidogo and it is my hope mtatu-unga mkono.

Unaweza kusaidia kutuma mchango wako kwenye Account ya wafiwa kama ifuatavyo:

Innocent E. Lugumamu

BANK OF AMERICA ,

ROUTE NUMBER :011000138

ACCOUNT NUMBER:004628572563

Address: 12 Walker St , Lowell , MA 01854


IMPORTANT: Kwa wale waliopo nje ya state ya Massachusetts , Out of state deposit circle (zungushia) namba 77 , MA. Unapotuma pesa. (haya ni maelezo muhimu toka kwa bank of America )

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na wafuatao:

Innocent E. Lugumamu 978 996 7690

Steven Buberwa Mutasa 603 320 3220

Crispine Kahabuka 603 261 0802


TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU.

Innocent E. Lugumamu

2 comments:

Anonymous said...

Kazi ya bima ni nini?

Anonymous said...

Pole sana famila ya Feruzi. Mungu amlaze mahala pema mbinguni. AMEN.