Saturday, November 28, 2009

Tiger Woods Apigwa na Mke Wake na Kupata Ajali ya Gari!Duh! Tiger Woods ana mke mzuri, lakini inasemekana ameanza kutembea na mama fulani (bimbo) huko New York. Na ndo chanzo cha mke wake kumpiga na yeye kukimbia saa 8 za usiku na kupata ajali ya gari jana! Kwanza kama hii habari ni kweli namsifu mke wake kwa kumtwanga! Wanaume hawana dogo! Na si ajabu huyo mwanamke ni mbaya kuliko mke wake! Tiger na mke wake wana watoto wawili wadogo.

**************************************************************************


Police in Florida hope to talk to golfing great Tiger Woods today about the circumstances surrounding his SUV accident early Friday.

The 33-year-old was treated and released from a hospital after his vehicle struck a fire hydrant at his estate near Orlando and then and hit a tree on a neighbor's property in the early morning hours.

Police say they attempted to talk to Woods yesterday, but his wife said he was sleeping. One key question is where he was headed at that hour.

The accident came two days after the National Enquirer published a story alleging that Woods had been seeing a New York night club hostess, and that they recently were together in Melbourne, where Woods competed in the Australian Masters.

Kwa habari zaidi someni:

http://abcnews.go.com/Entertainment/cops-questions-tiger-woods-car-accident/story?id=9195444

http://www.orlandosentinel.com/news/local/breakingnews/os-bk-tiger-woods-accident,0,1369881.story

11 comments:

Anonymous said...

Yule mwanamke alikuwa yaya tu, the dude got money kwa nini na mihela yote hiyo ale mwanamke mmoja. Da Chemi acha Tiger Woods awagawie na wengine!!!

brazatk@yahoo.com said...

Heheeeeeeeee awagawie na wengine? hyo haijakaa sawa ila twebde mbele turudi nyuma je wanaume walioa na kudumu katika ndoa kwa miaka kadhaaaa ni wangpi hawajacheat? Na wewe uliye kwenye uhusiano hujawahi mtamani ur x gf au bf na kukutana naye mkapasha kiporo?
www.mwakilaga.blogspot.com

Anonymous said...

Bw Chui alikuwa anaogopa kuwabememnda wanae sasa akaamua kupiga kazi za nje

Nautiakasi said...

Da Chemi acha ushabiki usio mpango, sasa washangiria mwanamke kupiga hata kama hana ushahidi..hata kama nikweli ndo tupigane? Kubadilisha ladha muhimu, nyengine zina heater sharti unung'unike!

Anonimasi said...

Da chemi you are writing out of speculations you dont have any proof. This equates you to National enquire and all other gossip magazines. No credible information but quick to jump into conclusion. What a shame.............

Anonymous said...

Wasema ana mke mzuri? Kama ni kweli, anafanya nini na huyo hostess?

Kamwona mkewe si dili. Samahani, lakini habari ndio hiyo.

Kitanda usokilalia, huwajui kunguni wake. Huwezi kusema Tiger ana mke mzuri. Mzuri kwa vigezo gani? Vyako, au vya yeye mwenyewe Tiger?

Unao uhuru wa maoni, lakini yawe ya msingi, si ya kupotosha. Asante.

Anonymous said...

Bwana Chui anakwepa kabisa kueleza ukweli. Hata hivyo ni mambo yao binafsi.

Anonymous said...

its pretty obvious that tiger woods was the victim of a violent assault which could have easily killed him. its not him that should be investigated, but his wife. this is no different than what chris brown did to rianna except that it is female on male violence. tiger woods is keeping quiet ti protect his wife. but if she is indeed a violent and unstable woman then tiger is not the upstanding man many are making him out to be. why? becauase there are children exposed to this violence who may also become victims at some point if the wife does not get help and treatment for her violent illness. if tiger tells the truth it will not only place his wife under arrst but will also trigger a child protective services investigation against his wife. this would be the most appropriate action to protect the children and indeed tiger from further domestic violence. don't think for a second that there is any difference between a woman committing violent assault and a man committing it. this marriage is definitely in trouble and probably heading to divorce. if the wife has violent tendencies then tiger should get custody of the kids and exposing his wife's domestic abuse will hls kids in being removed from a potentially vilent situation. this is not a story about embarassing tiger, it is a story about domestic violence and the fact it is woman on man doesn't make it any less troubling.

Golf Club said...

DUUUUH! Huyo Elin ataondoka na mamilioni ya Tiger. Divorce inanukia!

Anonymous said...

Hao watoto wako salama kweli? Kama anaweza kumpiga Tiger na club si anaweza kuwapiga watoto kwa hasira. Hii kali!

Anonymous said...

Tatizo Da' Chemi unadhani uzuri wa mwanamke ni maumbile ya nje tu...unadai eti mke wa Tiger ni mzuri...inawezekana Tiger kagusa mahali akagundua 'siri ya urembo'. Waswahili husema "siri ya mtungi aijuaye kata".