Sunday, November 22, 2009

Jua Likizama Mjini Boston

Hii picha nilipiga nikiwa kazini Copley Place, Boston, MA. Jua ilizama kwenye saa 10:30 jioni. Tulishangaa kuona hiyo jengo kwa mbali ikionekana kama vile inawaka moto.

No comments: