Monday, November 16, 2009

Msiba Boston - Robert L. Feruzi

Robert L. Feruzi 1946-2009

MSIBA BOSTON, MA.

Ndugu,Jamaa na Marafiki, Tunasikitika kuwajulisha ya kuwa Mzee Robert L Feruzi Boston-Masachusetts amefariki dunia siku ya Jumapili [Nov 15th 2009] asubuhi hapa Boston,USA.

Taratibu na mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Dar es salaam kwa mazishi zinafanyika nyumbani kwake 98 Itasca St, Mattapan, MA
Tunawaomba ndugu zetu mtusaidie kuchangia fedha kwa ajili ya kuwezesha kusafirisha mwili wa marehemu kurudi nyumbani kwa mazishi. Gharama za kuhifadhi mwili,kusafirisha mwili, Jeneza pamoja na gharama zingine ambazo normally uja na haya matatizo.

Unaweza kusaidia kutuma mchango wako kwenye Account ya wafiwa kama ifuatavyo:

Innocent E. Lugumamu
BANK OF AMERICA,
ROUTE NUMBER :011000138
ACCOUNT NUMBER:004628572563
Address: 12 Walker St, Lowell, MA 01854

IMPORTANT: Kwa wale waliopo nje ya state ya Massachusetts, Out of state deposit circle (zungushia) namba 77 , MA. Unapotuma pesa. (haya ni maelezo muhimu toka kwa bank of America)

Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na wafuatao:
Innocent E. Lugumamu 978 996 7690
Steven Buberwa Mutasa 603 320 3220
Crispine Kahabuka 603 261 0802

TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU.

Email-Address:- http://us.mc397.mail.yahoo.com/mc/compose?to=ilugumamu@hotmail.com au stevebube@gmail.com

2 comments:

Anonymous said...

Poleni wafiwa. Rest in Peace.

Anonymous said...

Poleni Roberta,Devorta na Andrew kwa kuondokewa na baba,bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe