Monday, November 30, 2009

Nyumbani ni Nyumbani 2009

Tanzania Professionals Network (TPN)

Nyumbani Ni Nyumbani 2009

Kongamano la Wanataaluma Waishio Ndani na Nje ya Nchi Golden Tulip 18th December 2009

Siku na Muda: Ijumaa; 18th December 2009;Saa 2.00 Asubuhi -11.00 JioniMahali: Golden Tulip Hotel; Masaki, DSMWashiriki: Wanataaluma na Wasomi Wote Mnaombwa Kufika Bila KukosaAda ya Ushiriki: TZS 50,000

Mada:

Namna Wanataaluma Wanavyoweza Kuchochea Maendeleo

Kujiandikisha na Maelezo Zaidi:

0715 740 047

president@tpn.co.tz

www.tpntz.org

Waandaaji:

TPN – Costech – OUT – UDSM - Serikali

Sponsors are Welcome

No comments: