Monday, November 09, 2009

Salamu kwa Rais Obama kutoka Tangi Bovu, Dar es Salaam


Kaka Christopher wa Tangi Bovu/ Hill Top Square anatuma salaam za pongezi kwa Rais Barack Obama. Anasema amefurahi sana kuona mtu mweusi mwenye busara anaongoza nchi kubwa kama Marekani. Kanunua khanga na kushonea nguo kabisa. Ananyosha kidole kuelekea Marekani.

1 comment:

Anonymous said...

Shabiki huyu!