Saturday, November 21, 2009

'Wake' Leo wa Mzee Robert L. Feruzi

Wadau, Mzee Robert L. Feruzi atasafirishwa siku ya jumatatu kwenda Tanzania na hatimaye kupumzishwa kwao Bukoba. Leo kulikuwa na wake na misa ya kumwombea na kumwaga marehemu huko Faggas Funeral Home, Watertown, MA. Mzee Feruzi alifariki Mass General Hospital siku ya jumapili 11/15/09. Mungu ailaze roho yake mahala pema mbinguni. AMEN.

Mimi na Program ya Kumbukumbu

WaTanzania walijitokeza kwa wingi

Pastor Jared Mlongecha wa International Gospel Church Chelsea, MA alisimamia misa ya kumwombea marehemu

1 comment:

Anonymous said...

Poleni.