Thursday, May 19, 2011

African Maid Causes Downfall of IMF Chief!

(Picha iliyotengenezwa na kompyuta kuiga mambo yaliyotokea kwenye Sofitel Hotel mjini New York kati ya mhudumu wa hoteli na Mkuu wa IMF, Dominique Strauss-Kahn inatoka TOGO FORUM)

Wadau, Mkuu wa IMF ambaye anakabiliwa na mashitaka kadhaa ya ubakaji mjini New York, Bwana Domique Strauss-Kahn amejiuzulu wadhifa wake! Bi Nafissatou Diallo (32) raia wa Guinea, Afrika Magharibi anadai kuwa Mzee huyo alimlazimisha kumnyonya ume wake na baadaye alimwomba nyuma. Ndo Bi Diallo alikimbia kwenda kumshitaki. Bwana Strauss-Kahn amefungwa bila dhamana kwenye gereza la Rykers Island.

Yaani mwanamke maskini kutoka Guinea amemfanya Mkuu wa IMF ajiuzulu! Kwa kweli sipendi kusikia habari za ubakaji na kama ni kweli basi huyo Bwana Strauss-Kahn anastahili kukatwa hiyo dhakari yake asiyojua kuitumia vizuri. Ila nina wasiwasi kweli kuwa maisha ya huyo Mama yatakuwa magumu sasa. Watamnyanyasa yeye na familia yake. Kazi hatapata, na wanaweza hata kumwua! Hao matajiri wanapesa za kunyaynyasa watu waliowakosea acheni tu! Tayari wameanza kumchafua Bi Diallo kwa kusema ni mgonjwa wa UKIMWI kwa vile anakaa kwenye fleti maalum za waathirika mjini New York.

Mnaweza kusoma habari zaidi kwa KUBOFYA HAPA:

6 comments:

Anonymous said...

Sielewi kwa kweli. Yaani kamnyonya mpaka jamaa anamwaga mzigo mdomoni? Hapana, kulikuwa na makubaliano. Labda jamaa aliaamua kumpunja malipo.

Anonymous said...

Babu wa miaka 62 bado anasimamisha kweli? Na huyo mama hakuwa na nguvu za kupigana naye mpaka kamwomba mkundu? Sikubali kabisa!

Anonymous said...

Hapo na mimi nina mashaka. Si ang'emg'ata hilo dudu lake. Kweli ni possible mtu kukulazimisha kunyonya?

emu-three said...

Duh hii kali kweli kweli!

Anonymous said...

Ina maana alimshikia bunduki? Kama alimtia mdomoni kwa nini alinyonya mpaka jamaa anamwaga? Nina maswali mengi. Naweza kukubali kuwa mambo yakawa mabaya baada ya huyo mama kukosa pesa alizotegemea angepata.

Anonymous said...

Mkuu wa IMF ni jamaa ambaye karibu awe rais wa Ufaransa. Kweli maisha ya huyo mama yamekwisha hata kama madai yake ni ya kweli. Familia yake watanyanyaswa mpaka huko Guinea na yeye pia atanyanyaswa. Usishangae ukisikia huo mama kajiua au kapa ajali ya gari. Usicheze na matajiri kama huyo.