Tuesday, May 03, 2011

Warning/Onyo!!! Picha ya Maiti ya Osama bin Laden (NI FEKI)

UPDATE 4:00PM
KUMRADHI WADAU! KUMBE ILE PICHA YA ETI MAITI YA BIN LADEN NI ASANTE PHOTOSHOP!!!! Habari kutoka serikali ya Marekani zinasema kuwa baada ya kichwa cha Bin Laden kutunguliwa na risasi kipande cha fuvu kilitoka na ubongo kuwagika. Walimtungua juu ya jicho ya kushoto. Of course tunajua kuwa Mortician angeweza kumtengeza uzuri aonekana kama alivyokuwa katika uhai wake.

Habari za hiyo picha feki mnaweza kupata HAPA!

*******************************************************************************Maiti/corpse ya Osama bin Laden Picha Kutoka: WAREYE


Osama bin Laden akiwa HaiSerikali ya Marekani wanasema kuwa watatoa picha hivi karibuni ya maiti ya Osama bin Laden ili kuthibitisha kwa wasioamini kuw a kafa kweli. Jeshi wa Marekani walisema kuwa walimtungua Osama juu ya jicho la Kushoto. Picha juu inatoka kwenye blog nyingine.


Duh! Katika dunia hii huyo Osama ni moja wa waliofurahia kuua watu kwa wingi. Sijui roho yake ilipo sasa hivi lakini bila shaka kuna joto sana huko! Na tusisahau kamwaga damu kwetu Tanzania! Tulimkosea nini jamani?

17 comments:

Anonymous said...

He's likely been dead for years. It was said he'd had some type of kidney disease. His real grave is probably somewhere deep in the Tribal Area of Pakistan.

Not that any of that matters. Until that fateful Tuesday morning, Bu$hCo was well on course to be a one term joke. After that, they had Carte Blanche to do whatever their evil little hearts desired...and they did.

Osama still triumphs from his grave as we have destroyed ourselves to obtain this hollow victory.

Anonymous said...

Huwa siwezi kufurahia kifo cha mtu hata akiwa mbyaa kiasi gani. Leo nimefurahi mno kusikia mshenzi namba wani wa dunia Osama bin Ladena Kafa! Yuko motoni na baba yake shetani!

Anonymous said...

Na sisi tushangilie kifo chake kama yeye alivyoshanglia kifo cha watanzania wenzetu!

Anonymous said...

"Usihukumu kwa maana nawewe utahukumiwa" Ajuwae roho yake ipo wapi (kama kafa kweli)ni Muumba pekee! Kama ni kuuwa PAULO aliuwa wengi kabla hajamrudia bwana, Jee nae tuseme yuko motoni, na kwavile tu hatujui Osama alitubu vipi mbele ya Muumba yule yule tunaedhani alimshamehe PAULO, hatupaswi kumuhukumu!

By Nauchochea

Anonymous said...

Osama hakuwa mtu mzuri hata kidogo. Nawashangaa ndugu zetu wa dini yake wanavyo omboleza kifo chake ikimaanisha kuwa walikuwa wanamuunga mkono kuuwa watu.

Nashukuru Mungu nilizalikwa kwenye ukristo.

Sielewi mtu anaishije na chuki kila siku kila wiki kila mwaka mpaka mwisho wa maisha yake!!!!!

Anonymous said...

Huyo Osama alivyokuwa mkatili angewakusanya hao hao wanaomboleza kifo chake na kuwalipua kwa mabomu. Angechekelea kuona vipande vya nyama, mifupa, na ndugu zao wakiwaomboleza. Alikuwa hathamini maisha ya binadamu. Jamaa alikuwa mnafiki kumbe siku zote anaishi maisha ya kifahari Pakistan. Kadangaya watu anaishi porini! LOH!

Anonymous said...

President Bush had 2,686 days to catch Osama bin Laden. President Obama got that job done in 831 days," said Lawrence O'Donnell," at the start of his 8 p.m. show. "Somehow ... bin Laden got the feeling that he could settle down comfortable in a walled fortress is a Pakistan suburb. But someone -- someone -- was still thinking about bin Laden in a lethal way. ... President Obama would make his biggest national security priority getting Osama bin Laden, and so he did."

Anonymous said...

Who among could say that the war in Iraq could have been won without Osama Bin Laden? Would the Americans have ever left Saudi Arabia? What about the war in Afghanistan? His contributions in fighting oppression by the mighty in these two areas today will stand as testament to the unbending will of man to fight against imposition of another mans will, and that one man can and does make a tremendous difference.

It is in this way I woke up yesterday to a more impoverished world, a sadder world.

On the other hand, it is a sad day because they are celebrating the death of an outcome rather than the cause.

I know, it is easier and more politically correct to either say Obama is great and Osama was good riddance, but at this hour one lone voice may need to point out the other side.

I stand to be corrected but Osama will inspire more from the bottom of the Arabian sea than he could have done from a "cave in Afghanistan". His contribution to the human civilization will come to be acknowledged way into the future when the world can look back at a time when one strong power was thrashing around, snatching and killing innocent people all over the world simply because they could, unchecked and unrestrained, and this would ostensibly pass as judeo-christian western civilization.

Unknown said...

ni nani mwenye uhakika kama bin laden amekufa kweli?na kwa ushahidi upi?kimsingi hakuna ushahidi wowote ule,na hao marekani tumewazoea bwana hii sio mara ya kwanza kusema wamemuuwa,eti wanadai wamemzika baharini!! wanachekesha sana mbona sadam walipomuuwa walimuonesha na mtoto wa gadafi pia wamemuonesha sasa kwanini Osama wasimuoneshe?na hizo picha walizotoa hazina ukweli ni sanaa tu.hata hamshangai Alqaida wenyewe wapo cool!!na hilo eneo wanalodai kuwa wamemkamata(islamabad)ni kambi ya jeshi.kisha wameonesha nyumba aliyokuwemo wameipiga bomu ikaripuka moto mtupu tena walingiaje ndani wakampiga risasi wakati nyumba imeripka hamna kilichotoka?pia walionesha chumbani walimompata wakamuua mbona hamna hata ishara ya moto wa hayo mabomu wakati nyumba imeripuka yote!! na walisema kuwa atzikwa kiislam yaani ataoshwa na kusaliwa na kwenda kuzikwa,sasa hapo ndipo walipofeli na kujidai wamzika baharini na huyo alitoa habari hizo ni oficial wa marekani ambae hakujitaja jina.CNN ilitagaza jumatatu saa 7 mchana kuwa ameshazikwa,SKY news jumatatu saa 10 jioni ilitangaza BREKNG NEWS kuwa atazikwa,jee mnaona hawa wanavyojizonga?wamechemka...WAKAJIPAGE UPYA!!!!!!

Anonymous said...

Some people are saying that Osama bin Laden is not dead. HE must be otherwise he would have already come out with one of his famous video recordings complete with a newspaper of today's date showing that he is dead!

Anonymous said...

Mtazamo huu hata mimi naukubali coz hii leo watu wakijua alipozikwa osama itakuwa ndio sehemu wanaenda kuitembelea na kujikusanya mara nyingi na ni rahisi pia kujipanga kwa hasira wakiwa hapo coz hapo ndipo alipozikwa shujaa wao.
kiukweli wakionyesha hizo picha itakuwa balaa kwa kweli maana mpaka leo walioona picha za sadamu kama ulivyosema wanasema hakutendewa haki na ule pia ni udhalilishaji kuonyesha maiti ya mtu hadharani ni kuivunjia haki hata kama huyo mtu awe mbaya kiasi gani.

Fikiria hii leo kibaka amepigwa amekufa cha kwanza watu watamfunika ili isionekane na watu
kudai picha hakutajustify chochote kama ameuwawa ni ameuwawa na kama hajauwawa itabaki kuwa hivyo!

Anonymous said...

Wamarekani walijifunza jambo baada ya mauaji ya Saddam, ikumbukwe kuwa baada ya mauaji ya watoto wa Sadda kulisambazwa picha za kutisha sana, hapo hata waliokuwa wanaichukia Marekani nusu nusu, chuki zao zikakolea na kujenga visasi na wamarekani. Picha mnato na video zilizoonesha kukamatwa na kunyongwa kwa Saddam nazo ziliamsha hisia za chuki zaidi dhidi ya wamarekani na washirika wao.
Kutokana na somo hilo, wamarekani wamekusudia kutoonyesha hizi picha ili kutoibua mawazo ya chuki kali, hasa miongoni mwa watu wenye chuki nusu kwa wamarekani. Istoshe, wamarekani ni kama wamekuwa na hofu kuwa, kuna kundi la watu wanaoweza kujitokeza kwenda kuabudu kwenye kaburi la osama, hivyo kuibua hisia kali zaidi juu ya wamarekani na washirika wao..

Anonymous said...

Mimi nimeona waisamu wengi wanamuunga mkono osama. Ndio maana alikuwa akiuwa watu waislamu wote walikuwa wananyamaza kimya kumbe wanashangilia kwa siri. Ila Osama alipouwa wote wanalalamika huku wakijidai kushambuli Marekani na israel. Lakini ukweli ni kwamba wanatuchukia hata sisi Wakristo.

Kinachowashinda ni kuwa sisi wakristo tumebarikiwa sana. Tuna akili nzuri na maendeleo. Tungekuwa tumechoka wangeshatulipulia mbali.

Sasa ona Osama ametupwa baharini na ameliwa na samaki. Mwisho wa Osama unaonyesha alikuwa ni MLAANIWA.

Anonymous said...

Whether he died yesterday or last year who cares!

What matters is that Osama is Dead and the world has "ONE DEMON TOO FEW".

That is a cause for celebration

Anonymous said...

THIS IS ISLAM, THE SO CALLED "RELIGION OF PEACE"

“Fight and slay the non-Muslims wherever ye find them” and “seize them, beleaguer them, and lie in wait for them in every stratagem (of war); unless they repent” Surah 9:5

"Do not take the Jews and Christians as friends" Koran 5:51

"Kill the unbelievers wherever you find them.” Koran 2:191

“Make war on the infidels living in your neighborhood.” Koran 9:123

“When opportunity arises, kill the infidels wherever you catch them.” Koran 9:5

“Any religion other than Islam is not acceptable.” Koran 3:85

“The Jews and the Christians are perverts; fight them.”... Koran 9:30

“Maim and crucify the infidels if they criticize Islam” Koran 5:33

“Punish the unbelievers with garments of fire, hooked iron rods, boiling water; melt their skin and bellies.” Koran 22:19

“The unbelievers are stupid; urge the Muslims to fight them.” Koran 8:65

“Muslims must not take the infidels as friends.” Koran 3:28

“Terrorize and behead those who believe in scriptures other than the Qur’an.” Koran 8:12

“Muslims must muster all weapons to terrorize the infidels.” Koran 8:60

Anonymous said...

The Koran says, "He he shows mercy on others while on earth will be shown mercy in heaven." So obviously bin Laden received no mercy.

Anonymous said...

Good job President Obama!