Tuesday, May 10, 2011

Wazaliwa Vichwa Viwili Mwili Moja

Duh! Leo huko China maajabu. Mapacha wamezaliwa viajabu. Ingawa kuna vichwa viwili wana mwili mmoja! Sijui itakuaje wakiwa wakubwa! Mapacha hao ni wa kike. Madakatari wanasema kuwa hawataweza kuwatengenisha. Wangezaliwa Afrika watu wangesema uchawi. Mungu awabariki.

Kwa habari BOFYA HAPA:

2 comments:

Anonymous said...

Bongo hao wangenyongwa kimya kimya walipozaliwa. Wataishi maisha gani?

Anonymous said...

LAKINI WEWE CHEMPONDA MBONA UWA UNAJIBEZA MWENYEWE UJUE UKO ULIKO WEWE NI MHAMIAJI ACHA MANENO YA KEJERI KILA UNAPO TOA MAELEZO YAKO