Wednesday, May 11, 2011

Mjue Rubani Susan Mashibe


*NI MHITIMU MWENYE SHAHADA TATU IKIWEMO YA URUBANI

*ANAMILIKI KAMPUNI YA TANJET INAYOSHUGHULIKA NA NDEGE BINAFSI

MO BLOG : Kama MO BLOG na wadau wetu tungependa kufahamu Susan Mashibe ni nani hasa….?

MASHIBE : Mimi ni mtu complex sana. Lakini labda nianze kwa kuelezea my educational background. Mimi nimesomea uhandisi wa ndege, urubani wa ndege na vile vile management ya ndege. Kwa sasa hivi mimi ni mjasiriamali katika hii sekta ya usafiri wa anga.

Kupata undani wa mahojiano haya bonyeza hapa http://mohammeddewji.com/blog/?p=4403

No comments: