Saturday, May 28, 2011

Flaviana Matata - Miss Universe Tanzania 2007Wadau nampenda mrembo wetu Flaviana Matata aliyeshiriki katika Miss Universe mwaka 2007. Alifanikiwa kuingia katika Top 10! Yeye hakuona haya kuwa na kipara, kuvaa nguo zenye 'African accent' na kuongea kiswahili! Sasa hao wanaokuja nyuma yake wanazidi mno kuiga uzungu. Hakuna ubaya kuomba mtafsiri, mbona wazungu, walatino wanawatumia. Ambao watafika mbali katika mashindano kama Miss Universe/Miss World ni wale ambao wanaonyesha mapenzi kwa nchi yao na siyo kutaka kuwa carbon copy ya mzungu.

3 comments:

Simon Kitururu said...

Naudhaifu sana na huyu demu!:-(

malkiory said...

Hapo umenena Chemi.

Anonymous said...

he he he he wambie hao washamba wanaoiga makaburu.kinyaa kwei kwei