Sunday, May 22, 2011

Bado Tupo!

Wadau, wikiendi inaisha vizuri tu. Hatujasikia habari za tetemeko la ardhi au maafa!

Huyo mzee aliyetabiri kuwa jumamosi itakuwa mwisho wa dunia kajificha!

2 comments:

emu-three said...

Hivi kweli kuna mtu anajua mwisho wa dunia? HAKUNA. Anayejua ni mwenyemungu peke yake!

Anonymous said...

Amini Usiamini, kuna watu ambao wanasikitika kuwa dunia haikwisha!