Wednesday, May 18, 2011

Anayedai Kabakwa na Mkuu Wa IMF Hotelini NY Atajwa

(Pichani - Mkuu wa IMF Dominique Strauss-Kahn Akiwa amefungwa pingu na kupelekwa kwenye gereza ya Rikers Island, New York)


Bila shaka mmesikia habari ya kesi ya ubakaji inayomkabili Mkuu wa IMF mjini New York. Magazeti ya nje ya Marekani yametaja jina na kutoa picha ya mhudumu wa hoteli anayedai kuwa Bwana Dominique Strauss-Kahn (62) kamfanya mabaya. Inadaiwa kuwa wikiendi iliyopita katika hoteli ya Sofitel mjini New York, Strauss-Kahn alijaribu kumbaka Bi Nafissatou Diallo (32) ambaye anatoka nchi ya Guinea, Afrika Magharibi. Chumba alichofikia ni $3,000 kwa siku!

Habari zinasema kuwa Bi Diallo alienda kusafisha chumba alichofikia Strauss-Kahn. Alidhani hakuna mtu mle. Alipofungua mlango Strauss-Kahn alitoka bafuni na alimkimbiza akiwa uchi na kumfungia chumbani. Hapo Strauss- Kahn alimlazimisha kunyonya ume wake, na baadaye alimwomba Diallo amfanye huko nyuma (kufira). Yule mama alifanikiwa kukimbia na kawaambia wafanyakazi wenzake hotelini ndo wakaita polisi. Inadaiwa kuwa Strauss-Kahn alikimbia baada ya tukio na kuacha simu yake, lakin wakli wa Strauss-Kahn anasema kuwa alienda kula chakula cha mchana na binti yuake halafu baadaye alienda uwanja wa ndege.

Strauss-Kahn alikamatwa kwenye ndege huko JFK Airport ikiwa karibu inaruka kwenda Ufaransa.

Kwa sasa Strauss-Kahn amefungwa bila dhamana katika gereza la Rikers Island huko New York. Duh! Kutoka hoteli ya fahari kwenda Rikers Island ni makubwa. Sidhani kama alitegemea kuona ndani ya jela katika maisha yake. Bi Diallo amefichwa. Tutasikia zaidi mahakamani. Siwezi kujua nani anasema ukweli kwa vile sikuwepo, ila naweza kusema kuwa maisha ya huyo mama yatabadilika. Yeye maskini halafu anachafua jina la tajiri. Nina wasiwasi hata familia yake huko Guinea wako hatarini kuchafuliwa jina.

Lakini jamani, dume zima tena tajiri ilishinda kununua malaya! Wanaomfahamu Bi Diallo wanasema kuwa ni mrefu ana urefu wa futi 6. Hivi Strauss-Kahan alidhani kwa vile mzungu yule mama atakubali kumpa nini?

Mnaweza kuona picha ya Bi Diallo kwa kuBOFYA HAPA:


Kwa habari zaidi someni:


http://www.nydailynews.com/news/world/2011/05/18/2011-05-18_we_want_you_out.html

http://abcnews.go.com/US/dominique-strauss-kahn-sex-case-alleged-victims-lawyer/story?id=13627104

http://www.telegraph.co.uk/finance/dominique-strauss-kahn/8521881/Dominique-Strauss-Kahn-maid-lives-in-apartment-block-for-HIV-sufferers.html

3 comments:

Anonymous said...

Da Chemi mbona hujaandika kuwa huyo Diallo ni mgonjwa wa UKIMWI. Strauss-Kahn lazima anahofu afya yake sasa.

Anonymous said...

hiki kizee kina pepo wa ngono maana hapo nyuma kimeshtumiwa mara kibao kwa ubakaji huko kwao ufaransa.atalijua jiji alidhani marekani ka ufaransa maana huko kwao wamezizima kesi nyingi dhidi ya hili jemba.

Anonymous said...

Amejiuzulu. Mwanamke maskini kutoka Guinea kamfanya mkuu wa IMF ajiuzulu! Makubwa!