Sunday, June 01, 2014

Mwili wa Mama Yake Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe Wasafirisha Kwenda Kigoma

Zitto kabwe akiwa na Prof  Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili wa mama yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi
Ndege Ikiandaliwa Ili kuweza Kuingiza Mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe
Waheshimiwa Wabunge na Baadhi ya Viongozi wakibeba Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Mama Yake Zitto Kabwe Bi Shida Salum  kuingiza kwenye ndege Tayari kwa safari ya kwenda Kigoma Kwenye mazishi
Prof Ibrahimu Lipumba akijadili jambo na Mwezie baada ya kupakia mwili wa marehemu kwenye ndege kuelekea kigoma Kwenye maziko


Rais wa TASWA Juma Pinto akiwa VIP ya Terminal 1 JKN Airport alipokutana na Cardinal Pengo wakati wa kuaga mwili wa Mama yake Zitto Kabwe
KWA HISANI YA: Dj Sek Blog P.O.BOX Dar es salaam IT DEPARTMENT

5 comments:

Anonymous said...

Ni kazi ya Mungu. Mama ametimiza wajibu wake na kazi yake. Tunaiombea roho yake ipumzishwe mahali pema peponi, amen

Anonymous said...

Jamani pole sana Zitto, najua ni wakati mgumu, ila katika ubinadamu wetu hatuwezi kupingana na mapenzi ya Mungu.

Bwana, alitoa, Bwana ametwaa, jina la Mungu lihimidiwe.

RIP mama Zitto

Anonymous said...

Pole sana kwa msiba Mheshimiwa Zitto, Mungu akutie nguvu wakati huu wa majonzi kwako, tunakuombea, jipe moyo Mungu akupe subira na ustahimilivu wakati huu wa majonzi kwako. Tunaombea amani familia kwa ujumla wakati huu wa majonzi. Mungu ampunzishe mama mahali pake pa salama, mwendo ameumaliza hapa duniani. Mungu na ampunzishe kwa amani...

Anonymous said...

PUMZIKA KWA AMANI MAMA ZITTO.

Anonymous said...

POLE KIONGOZI TUKO PAMOJA KWENYE MSIBA HUU MZITO SISI WA KIGOMA PRESS
CLUB ALIKUWA KIONGOZI WETU NA TULICHOTA MENGI KUTOKA KWAKE
MUNGU AKUPE MOJA WA SUBIRA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA KUONDOKEWA
NA KIPENZI CHETU POLE