Thursday, May 29, 2008

Baraka Cafe


Hii Cafe iko mtaa wa Pearl St. hapa Cambridge, MA. Wanauza chai na vyakula vya Middle East. Na hapo saloon ya nywele usiende na chini ya dola $100!

No comments: