Monday, May 05, 2008

Mashindano ya Mwanaume Mzuri Afrika

Nimepokea hizi picha kwa e-mail:

Wanauliza nani mwanume mzuri kuliko wote barani Afrika. Wanaowania taji ni hao TISA chini:

Namba 9
Namba 8
Namba 7

Namba 6

Namba 5

Namba 4

Namba 3Namba 2

MSHINDI NI HUYO WA CHINI!

16 comments:

Anonymous said...

Nimempenda Namba 5.

Anonymous said...

Kweli wakwanza mshindi, lol!

Anonymous said...

No 5, 6 na 7 ni watu wa kawaida ila tu sura zao. Picha zilizobaki wana matatizo ya akili, au sio wadau?

Anonymous said...

what about on the female side

Anonymous said...

Namba 5 siyo mbaya. Huyo ni mzuri kabisa.

Anonymous said...

Huyu mshindi ulimi wake una mabega?

Anonymous said...

huyo mshindi ulimi wake uko kama nanihii ya mbwa dume mwenye midadi.

Anonymous said...

mizengo pinda angeshiriki angeshinda kuanzia namba moja hadi tatu yeye peke yake!
warudie shindano na yeye ashiriki muone, kama hamuamini!

Anonymous said...

Kunguru wa Unguja, acha maneno ya hivyo, yanamshushia hadhi mwenye blog ingawa tunajua pasipo shakashaka kwamba huyu dada anajiheshimu sana. Sasa hebu fikiria jamii inayosoma huo ujumbe wako! Lakini samahani kama nimekuudhi

Anonymous said...

Siku hii Mh. Pinda amenawiri. Siyo mbaya kama alivyokuwa. Cheo kizuri.

Anonymous said...

wabongo kweli mimi nachekaga tu najivunia ubongo wangu

Anonymous said...

hao mbilikimo tu

Anonymous said...

wazee wa kupombeka tu hao,tena sio bia ni mataputapu.lool

Anonymous said...

Hao wana ugonjwa unaosababishwa na kulamba nanihii, (kwenda chumvini)

Unknown said...

Naomba Dada Chemi um-ban kunguru wa unguja kutoa maoni yake kijijini humu. Yeye ni mchafuzi wa hali ya hewa.

Anonymous said...

Haah haah!! Chemi na wewe siku hizi MKALI NIMEPENDA HIYO !!