Thursday, May 01, 2008

D.C. Madam ajinyonga!


Kweli duniani kuna mambo. Leo D.C. Madam, Deborah Jeane Palfrey (52) amekutwa amejinyonga. Kwa wasiojua yeye ndiye alikuwa na biashara ya kutoa malaya kwa vigogo wa serikali ya Marekani na matajiri wengine!

Senator, Congressman, Jaji na wengine wakihitaji malaya, walikuwa wanapiga simu kwa Palfrey. Wanasema hata wazito wa White house walikuwemo kwenye orodha ya wateja. Wakihitaji malaya kwenye party Palfrey alikuwa anawapatia. Wanasema hata makamu wa rais, Dick Cheney alikuwa moja wa wateja.
Leo amekutwa kafa kwa kujinyonga. Doh! Yaani aliona kifo ni bora kuliko kwenda gerezani. Makubwa. Mwezi uliyopita alikutwa na hatia ya kufanya biashara ya umalaya na pia kusafisha pesa (money laundering). Mwezi wa saba ndo ilikuwa apewe kifungo ambayo ingekuwa hata miaka 55 jela. Ila kwa vile wateja wake walikuwa wazito wa serikali sihdani kama angefungwa miaka 55 yote hiyo.

REST IN PEACE!

**************************************************

(CNN) -- Deborah Jeane Palfrey, known as the "D.C. Madam," was found dead in Florida Thursday, according to Tarpon Springs police.

Deborah Jeane Palfrey was convicted of running a high-powered prostitution ring.

Palfrey, 52, hanged herself, police said in a news release.

The body was found by her mother, at whose home Palfrey had been staying, police said.
Suicide notes were found near the body in a small storage shed next to a mobile home, police said.

The Pinellas County Medical Examiner's Office will determine the cause of death, police said.
The county sheriff's office and the FBI are participating in the investigation.

"I am devastated to hear about this," Palfrey lawyer Montgomery Blair Sibley said. "If it turns out to be true it is a tragic loss of life."

Palfrey was convicted last month in connection with a high-end prostitution ring catering to Washington's elite.

She was found guilty April 15 of money laundering, racketeering and mail fraud and faced a maximum 55-year prison term at her sentencing, which was scheduled for July 24.

A spokesman for the U.S. Attorneys Office in Washington, which prosecuted Palfrey, declined to comment.

Prosecutors estimated she would have received a sentence between 57-71 months, about six years, because of sentencing guidelines and other factors that would have been taken into account.

At least one lawmaker, Louisiana Sen. David Vitter, a Republican, turned up in the phone records of her business, Pamela Martin & Associates.

State Department official Randall Tobias resigned in May 2007 after confirming he patronized Palfrey's business.

She argued it was a legitimate, legal escort service.
Kwa habari zaidi someni:

2 comments:

Anonymous said...

...mshahara wa dhambi ni mauti!

Anonymous said...

Hili ndio lile jinamizi la Chenge baada ya kukosa target kwa Chenge limekuja kwa huyo mama. Salama ya Chenge itapatikana tu asiposhitakiwa, kesi ikianza tu analo! Si mmeona hata kwa Ditto ilikuwa hivyohivyo, linakuumbua kwanza halafu unavuta!