Tuesday, May 06, 2008

Bongoland II - Review


Review imeandikwa na Dr. Aldin Mutembei.

HONGERA SANA!! Mno Mno. Kazi imefanyika kwa hakika. Ni film nzuri. Kwanza nimeangalia dhamira nzima, yaani Theme. Maana nimeiangalia nikiwa na mawazo ya kuwa baadaye inaweza kutumiwa na Vyuo Mbalimbali. Dhamira yake ni nzuri sana. Imechukuana na wakati huu.Nimependa pia Plot. Jinsi kisa kimoja kinavyounganika na kisa kingine na kuunda mtiririko wa situ kizima.

Kwa upande mmoja unaonesha Tanzania inayobadilika, ila kwa upande mwingine kwanini dhana ya “Mswahili” haibadiliki?
Kwa Ujumla, hadithi nzima na mtiririko wake ni nzuri sana. Ni Hadithi nzito ambayo ipo Leo, lakini pia inaonesha Jana ilivyokuwa. It cuts across time. Hongera sana kwa Kazi nzuri.

Aldin


MORE ON DR. MUTEMBEI Dr. Aldin Mutembei (Visiting Lecturer, PRINCETON INSTITUTE FOR INTERNATIONAL AND REGIONAL STUDIES; September 2007–June 2008). Mutembei is currently a lecturer at the University of Dar es Salaam in Tanzania, where he teaches courses in Swahili language and literature. Dr. Mutembei is the author of Kisiki Kikavu (2006), a Kiswahili novel on the AIDS crisis and of numerous articles. His recent research focuses on the socio-cultural and socio-linguistic aspects of HIV/AIDS in Tanzania. While at Princeton, Dr. Mutembei will teach courses in comparative literature and African studies. Ph.D. Leiden University, Netherlands, 2001.

2 comments:

Anonymous said...

Review nzuri sana. Sas tutaiona lini?

Anonymous said...

mimi binafsi siachi kumpa honegra bwana kibira na his entire production team.sio kwa sabb ya sinema hii tu ambayo i must admit kwamba sijaiona bado .but turning to his previous films kwa kweli nina full confidence kwamba kwenye hii sinema amefanya kazi ngumu sana na undoubtedly great
hapa ninazungumzia kiufundi sipo interested saana na hadithi kwa sasa kwa kweli kuona mtanzania amefanya FEATURE FILM irrespective of the format kwa kweli inanifurahisha sana .
kaka hongera na just so you know nipo njiani kukusupoti hivi karibuni.
wiki mbili zilipita nichukua sinema ile ya tusamehe na moja ya nigeria nilipeleka kwenye ushirika wangu wa sinema hapa Edmonton (FAVA)kwa screening kuwaonyesha sinema za afrika kwa kweli walikuwa very imppressed na tusamehe na kila mtu alisema hiyo ni sinema iliyokamilika technically despite a few flaws inherent with the video format, kwa maana halisi na kwa mitazamo yote basi walisifia sana na nilinotisi attention aliyoaxist wkt wa kuangalia it was unbelievable
sasa tulipoanza ya nigeria .half way walianza converstion ya criticism na kwamba it was a piece CRAP yaani it was so amateurish. hata hatukumaliza kuangalia any way
ninawakilisha tuu jamani kutoka Edmonton
Kibira ,great job!
Raceznobar